Hiyo picha ya msichana ambayo siku ya jana imesambaa mitandaoni inasemekana alipita maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo kifupi ambacho kilivuta hisia za midume wakware na kuanza kumzonga zonga wakitaka kumvua kimini hicho,huku wengine wakimchoma vidole sehemu zake za siri,bahati nzuri akatokea boda boda na kumuokoa.
Hii inatufundisha nini?
No comments:
Post a Comment