Kwa RB nambs KTN/RB/11213/2024-UTAPELI,inamsaka msanii wa muziki na na sinema za kibongo Hemed Suleman PHD,tangu mwaka jana akidaiwa kutapeli nguo za shilingi laki saba,mali aliyekuwa mtangazaji wq EATV Nasra Dattan "lady Naa" ambaye alimkabidhi begi lake baada ya kumaliza kurekodi filamu iitwayo Catherine.
Akizungumza na ijumaa wikienda,Lady Naa alisema alimvumilia Hemed kwa muda mrefu kwani alimpa mzigo huo na kumuomba akaushushe kwa rafiki yake maeneo ya Kinondoni lakini hakufanya hivyo na alipokuwa akimkumbusha akasema amfanye lolote kama anaaweza.
"Kila nikikutana naye nilikuwa na muomba anirudishie anasema nifanye lolote na kinachonishangaza amezipeleka wapi maana mule kulikuwa na nguo za kike nilizo chukua UINGEREZA.
No comments:
Post a Comment