Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa msanii wa RNB Chris Brown amepata mtoto wa kike miezi 9 iliyopita na kwamba ni baba sasa,mama wa mtoto huyo ni NIA (31) aliwahi kuwa model na alifahamiana na Chris Brown miaka kadhaaa sasa.
Watu wa karibu na Chris Brown (25) wanasema mama na mtoto wana afya njema na kwamba Chris anafuraha ya kuwa baba ila hawana tena mahusiano na mama wa mtoto huyo.
Nia amekuwa akiwambia marafiki zake kuwa mtoto huyo baba ake ni mkali wa RNB Chris Brown,kwa sasa Nia anaishi na mwanaume mwingne ambaye analea huyo mtoto.
No comments:
Post a Comment