Mfalme wa Bongo Fleva Diamond Platinumz,leo amepost kwenye akaunti yake ya Instagram na kushare na mashabiki wake kuhusu wasanii kumi anaotamani kufanya nao collabo siku za usoni.
Katika picha aliyepost inawaonesha wasanii hao kumi,akiwemo msanii wa miondoko ya RNB wa Amerika Usher Raymond.
No comments:
Post a Comment