Msanii wa vichekesho kupitia kundi la ze orijino komedi inayorushwa TBC1 Joti,amemkuna ipasavyo Paul Okeyo mmoja wa mapacha wa P square kwa staili yake ya uchezaji wa mziki.
Hii ni baada ya mmoja wa mapacha hao maarufu Afrika,Paul Okeyo kupost kipande kifupi cha Joti akicheza wimbo as wa Koffie Olomide kwa style inayomvutia.
Paul Okeyo aliandiksa:-
"hahahahahaha! I can't wait for P square to start dancing like this"
No comments:
Post a Comment