Hongera Nay wa Mitego kwa kuweza kupima UKIMWI ili kujijua afya yako,unapaswa kuigwa na wasanii wengine si kwa kuweka majibu mtandaoni bali kuwa na tabia ya kupima ili kujijua maendeleo ya afya zao.
Na kupima isiishie kwenye ukimwi tu bali na magonjwa mengine mbalimbali. Kwani Kuwa na Afya bora usaidia kuchangia mafanikio katika shughuli zako za kimaendeleo za kila siku.
No comments:
Post a Comment