Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Thursday, March 5, 2015

MWALIMU ALIYEKUWA AKIISHI NA KINYESI NDANI AKIMBIZWA MUHIMBILI.

Mwalimu wa shule ya sekondari  ya Kibasila,Gaudensia Albert aliyekuwa akihifadhi kinyesi ndani kwake kwa miaka miwil amepelekwa Muhimbili baada ya daktari wa hospitali ya Temeke kubaini ana matatizo ya akili.

Mwalimu mkuu msaidizi wa shule hiyo,Mwl. Kyando  amesema baada ya kugundulika kwa tukio la kuishi na kinyesi walimpeleka mwalimu huyo hospitali ya Temeke kuangalia afya yake. Ndipo daktari wa Temeke alipobaini ana matatizo ya akili na kuamulu apelekwe hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Baada ya kufika muhimbili  walimpatia matibabu kwa kumpa dawa na ushauri mpaka hivi sasa.

Mwalimu Kyando akiongelea juu ya uamuzi wa shule uliochukuwa kwa kumpeleka hospitali.

"Sisi bado tunamuhitaji kutokana na tatizo la uhaba wa walimu wa sayansi nchini; mbali na kukutwa na kinyesi alikuwa anafundisha vizuri kwa kipindi chote cha ualimu wake hapa" alisema  Kyondo.

No comments:

Post a Comment