Gari la kampuni ya Arusha Express inayofanya kazi ya masafa ya Arusha na Mbeya imepata ajari dakika chache zilizopita baada mya tairi la gari hilo kupasuka na kusababisha kupinduka. Taarifa za awali zinadai mpaka sasa bado hawajatambua kama kuna mtu aliyefariki kwenye ajari hiyo ila majeruhi ndo mengi.
Ikumbukwe majuzi tu ilitokea ajari mkoani Iringa. Serikali inahitaji ichukue hatua stahiki kwenye Barbara hizi za Iringa na Mbeya,na Sehemu kote ambzo zinakasoro kubwa za miundombinu.
No comments:
Post a Comment