Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Wednesday, March 4, 2015

DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA KWENYE SHEREHE ZA TUZO ZA AFRICA MAGIC VIEWERS JIJINI LAGOS,JUMAMOSI HII

Diamond Platnumz amepata shavu lingine kutumbuiza kwenye shere za utoaji tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards (AMVCA 2015) zitakazofanyika  Jumamosi hii huko Lagos ,Nigeria na kurushwa live kupitia DSTV.

"Waliwasilana na sisi kupitia e-mail na show itakuwa siku ya jumamosi,tarehe 7" amesema mmoja wa mameneja wake kupitia 255 ya XXL ya Clouds FM.

"Itakuwa ni live katika chaneli moja ya Africa Magic. Hizi ni tuzo za Africa Magic Movie Awards ambazo zitafabyika Lagos Nigeria ,kwahiyo Diamond ataperform nyimbo ya mdogomdogo"

Ameongeza kuwa Diamond anaweza kushoot video mpya ya wimbo wa Iyanya,kwani naye Iyanya atakuwepo kwenye kutumbuiza kwenye tuzo  hizo.

No comments:

Post a Comment