Mwanadada supastaa wa bongo muvi mwenye mashabiki wengi nchini Wema Sepetu ameshare picha na mashabiki wake,picha hiyo akiwa na rafiki yake kipenzi Aunt.
Kwenye picha hiyo inamuonesha Wema akiwa ameweka mkono juu ya mimba ya Aunt ikiashiria anambariki mtoto huyo anayetarajiwa kuzaliwa miezi ya karibuni kwani mimba ya Aunt sasa ni kubwa.
Kwa kitendo hiko kimewafurahisha mashabiki wake kwa kuonesha utu na kujali marafiki zake vipindi vyote vya maisha.
No comments:
Post a Comment