Vanessa Mdee ana vipaji vingi sana,hivi karibuni alshiriki kuongoza (co-director) video ya wimbo wake mwenyewe HAWAJUI na huenda ni kitu anachokifurahia kukifanya yeye mwenyewe.
Vee Money ameshirikiana na muongazaji Hanscana kuiongoza video ya Jux Nikuite Nani,iliyofanyika kwenye fukwe za bahari ya Hindi jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment