Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Wednesday, March 4, 2015

WANAUME WATATU WANYONGWA MKOANI KILIMANJARO KISHA MAITI ZAO KUTELEKEZWA.

Watu watatu wasiofahamika wamekutwa wamekufa na kutelekezwa maeneo ya mjohoron wilayani Hai mkoani Kilimanjaro huku miili Tao ikionesha majeraha maeneo tofautu pamoja na kuvuja damu.

Kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro Geoffrey Kamela (pichani) alithibitisha kutokea kwa tukio hilo,lakini  akisema ametuma maofisa eneo la tukio na taarifa rasmini ataitoa uchunguzi utakapo kamilika. Miili ya marehemu inakadiliwa kuwa na umri wa miaka 28 na 32 ,wanahisiwa walikuwa wachimbaji wa madini ya Tanzanite Merelani Arusha.

Kwa mujibu wa taaifa kutoka kwa wakazi wa eneo ilipokutwa miili hiyo ambao walinzungumza kwa masharti ya kutotajwa majina yao, miili hiyo ilikutwa eneo jirani na alipokuawa billionea wa madini ya Tanzanite  mkoani Arusha marehemu Erasto Msuya aliyekufa kwa kupigwa risasi kifuani.

No comments:

Post a Comment