Mwaka huu umeanza kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam kwani wiki iliyopita walifiwa na wanafunzi watano katika ajari ya gari mkoani Iringa.
Hii leo asubuhi mida ya saa 4:12 moto ulianza onekana ukiwakaka katika hosteli za chuo hiko zilizopo mabibo. Hostel iliyokumbwa na janga hilo ni BLOCK B,wanayolala wanawake.
Chanzo chetu cha habari kimeambiwa na mmoja wa mwanafunzi anayeishi hosteli hiyo kuwa chanzo cha moto huo ni pasi ya umeme.
"Kuna mwanafunzi alikuja kupiga pasi,alipomaaliza akaacha hivyo hivyo,na member tulikuwa tunaoga na wengine walikuwa hawapo,Mara tukasiskia shoti ya umeme ghafla," kilisema chanzo hicho.
Taarifa kamili tutawapatia.
No comments:
Post a Comment