Aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown ,Karrueche Tran amefikia uwamuzi wa kuachana na Chris Brown na kusema hatolea mtoto huyo wa Brown mwenye miezi tisa baada kuchoka na skendo za Chris Brown.
Ex- huyo wa Chris alitweet baada ya TMZ kuvujisha siri kuwa Chris Brown ana mtoto aliyezaa na Modo Wa zamani ambaye ni Rafiki yake anaitwa Nia mwenye miaka 31, na vipimo vya vina saba (DNA) vimethibitisha mtoto huyo ni wa Chris.
"One can only take so much. The best of luck to Chris and his family. No baby drama for me" @karrueche.
No comments:
Post a Comment