Nikiwa katika miaka ya kubarehe nilisikia wazee wakijivunia Kuwait katika zama zao walikuwa wanao wanawake wabichi kabisa yaani bikra. Waliendelea kusema kuwa vijana wa siku hizi wanakula makombo,sikiweza changia hoja kwasababu sikuwa mmoja wao katilka mazungumzo nilisikia tu kwakuwa nilikuwa pembeni ya nyumba na wao hawakuniona.
Habari ile iliniumiza sana kichwa na ndipo nikaenda kumuuliza ndugu yangu aliyenizidi umri. Nilimuliza nini maana ya bikra? alinijibu kiustaha na sikuweza kumuelewa kwani hakunieleza moja moja nini maana yake. Alipomaaliza kunijbu aliniuliza kama nimeanza kuingia kwente mahusiano ya mapenzi au bado.
Baada ya miaka takribani 10 kupita nikakutana na yule ndugu yangu niliyemuuliza,nikamkumbushia swali langu la kipindi kile. Alicheka sana na kisha akaniambia kama unataka mwanamke bikra nenda Zanzibar wako wengi na wamejazana tele hadi vyuo vikuu vya kisiwani humo.
Wanajamvi naomba mnijuze. Je ni kweli haya yafuatuayo.
1. Je ni kweli Zanzibar kuna bikra za kumwaga?
2. Je wanatumia njia gani kutunza bikra hadi kufikia umri wa kuolewa wakati kuna ongezeko mkubwa wa vishawishi na utandawazi?
3. Vijana wa kiume wa Zanzibar wanajipoozea wapi au wanatumia mbinu zipi mbadala kutimiza haja zao?
Ndugu wasomaji naomba mnisaidie juu hili,kama una chochote unachokifahamu kuhusu hili.
No comments:
Post a Comment