Siku ya jana taarifa zilisambaa sana mitandaoni kuhusu kufariki kwa Mama wa Taifa hili Maria Nyerere,taarifa hizo zilikuwa za uzushi na uwongo za kumchefua Mama was Taifa letu. Akizungumza na kituo cha Television cha taifa (TBC1) kwa kukanusha taarifa hizo.
Mama Nyerere:" kwani we unaionaje?
Mtangazaji:" nakuona uko mzima kabisa"
Baada ya maongezi hayo,wote walitabasamu,kisha Mama Maria Nyerere alisema huu ni mwaka wa uchaguzi kwa hiyo mambo ya uzushi yapo
No comments:
Post a Comment