Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Thursday, March 12, 2015

MAHABA NITULIZE! NUH MZIWANDA: KUPIGWA NI ISHARA YA WIVU NA MAPENZI YA DHATI,SIMUACHI NG'O KWANI NAMI NAMPIGAGA.

Msanii wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda ambae ni mpenzi wa msanii Shilole amefunguka kwa kusema kuwa hakuna mwanadamu wa kuweza kuwatenganisha katika mapenzi yao licha ya maneno ya watu kuzungumza vibaya juu ya kupigwa kwake.

Asema mungu ndo anaweza kuwatenganisha kama kipigo ameshakizoea,na hakuna mapenzi ya dhati bila kupigwa,ukiona upigwi basi mpenzi wako hana wivu

"Mungu ndo ataetenganisha hii couple,binadamu neeeeever. Sawa ananibonda kila siku ila tumependana wenyewe na kupigwa kuna raha yake jamani. Ukiona upigwi sawa ujue hakuna wivu hapo na mimi najua wapi napompiga."

"Maana naona mmezidi sasa kila saa kipigo kipigo. Nisharidhili mimi bwege fala mjinga semeni yotee. Ila nishampenda simuachi ng'ooo!. Bora nyie mfanye yenu tu. Nawapenda saaana wanaofatilia mziki wangu." Alisema Nuh

No comments:

Post a Comment