Mwanamziki wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohammed "shilole" amepondwa vibaya katika msiba wa aliyekuwa mbunge wa mbinga Magharibi ,Mh.kaptani Komba,baada ya kuvaa kigauni kilicho mbana na kumuonesha maungo yake ya mwili ambele ya viongozi mbalimbali wa serikalini akiwemo Raisi Jakaya Kikwete.
Shilole alipowasili eneo la maombolezo Karimjee,Posta jijini Dar es Salaam,watu walianza kunong'onezana juu ya hiko kigauni alichokivaa.
"Jamani hii aliyovaa si tight kabisa maana yuko tofauti kabisa na wenzake,ambao wote wamevaa nguo za heshima zinazowastiri maumbo yao,kwanini yeye ameamua kuvaa hivyo? " aliaema mama mmoja ambaye Nate alikuwepo. Keenye maombelezo.
No comments:
Post a Comment