Mwezi huu umeingia kwa namna yake baada ya mfululizo wa ajali kila kukicha. Leo hii mkoani Singinda imetokea ajali ya gari aina ya NOAH T.730 BUK,kugongana na Lori aina ya Scania.
Watu 13 wamefariki dunia kwenye ajari hiyo mbaya wakiwemo wanafamilia wa gari hilo. Miili 10 ya marehemu ishatambuliwa na ndugu zao na kupelekwa hospitali kwa hifadhu.
Kamanda wa polisi wa mkoani Singinda SACP Geofrey Kamwela ,amethibisha kutokea kwa ajaru hiyo Leo hii Saa 1.32 asubuhi. Ajali hiyo imetokea kwenye kijiji cha Isuna,iliyopo wilaya ya IKUNGA,mkoani SINGIDA.
No comments:
Post a Comment