Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Monday, March 2, 2015

MBOWE AKAGUA "JESHI LAKE LA RED BRIGADE"JIJINI MWANZA

Hizi ni picha za wanajeshi hao wakila kiapo cha utiii.

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA,Wilfred Rwakatare (Kulia),akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho RED  BRIGADE huku Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho ,Freeman Mbowe (kushoto) akisikiliza .

Vijana wa Chama Cha Demokrasia CHADEMA ,alimaarufu kama RED BRIGADE ,wakila kiapo cha utii mbele ya mwenyekiti wa taifa wa chama hicho Freeman Mbowe,kujibu Mwanza siku ya jumamosi tarehe 28/2/2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama wa vijana zao.

No comments:

Post a Comment