Sinta kaamua kuvubja ukimya kuhusiana na ubwege wa Nuh Mziwanda ambaye anadaiwa kuchapwa makofi, Ngumi na Mateke na mpenzi wake shilole.
Nukuu za hapo chini si maneno yetu,ni maneno ya mwanadada sinta tumeyanukuu kama yalivyo kutoka kwenye blog yake.
"Jamani jamani mnaosema oh umskini mbaya,kwanini shilole anandhalilisha bwana yake,jamani kwani huyo so called Nuh or whatever his name is Kalazimishwa?"
"Unajua siku hizi mapenzi yamekuwa free sana,yaani ukiona mtu anakupa vitasa mara umuhelewi ya nini kumng'ang'ania as if umezaliwa nae?"
"Mtu uliyemjulia ukubwani nae akupe shida? BIG NO, I would rather stay single for the rest of my life,kwanza sio adhabu kuwa single kuliko Kuwait katka unhealthy relationship"
"Mnamuonea huruma Huyo so called Mziwanda ni wanafki mapenzi kama anapigwa vitasa na makofi anajua mwenyewe alichofanya na atulie kuliko kusema kuwa ni maskini kwani yeye kiwete?"
"Kwani hawezi kutafuta kazi akapata mpaka awe msingi kiuno hell no muacheni apokee makonde na vitasa"
"Vijana kama yeye wako wangu tu,kazi kujisexisha na kuwa msingi kiuno mjioni na ndio wanafanya taifa linadidimia kiumaskini."
"Vijana wenyewe wanatakiwa wafanye kazi matokeo yake wanajipamba tu. Halafu mnalakamika ooh wazee hawatuachii nafasi maofisini ,watawachiaje na nyie siku hizi mnapenda slop. Full kuteleza"
No comments:
Post a Comment