Wiz Khalifa hana mpango wowote wa kurudisha penzi lake kwa baby mama wake Amber Rose licha ya kuwa amezaa nae mtoto mmoja lakini ameamua kumpa madogo live kwenye wimbo mpya alioshiririkishwa.
Kwenye wimbo wa Juicy J uitwao "For Everybody" ,hii ni baadhi ya mistari inayomzungumia Amber.
-" Man, I fell in love with stripper,funny thing is fell back out of love quicker"
-" Bottles be turning these girls into that's instagram turning these wives in to hos"
-" You all 'bout that money,that s****t that i throw just make sure you clean off that pole."
No comments:
Post a Comment