Any ways, Leo nimeoata chance ya kusikiluza nyimbo ya Ali Kiba's music but i think he needs to grow kimuziki. Mie naona toka arudi kwenye gemu nyimbo zake zimeshuka kiwango sio nzuri kama za zamani. Au labda tuseme yaani nyimbo zake ni vilevile yaani hazina tofauti. Yaani they sound identical ,anabadilisha vitu vidogo vidogo sana,nyimbo zake za zamani zolikuwaga nzuri sana,ila pia yawezekana za sasa hivi zinaonekana si nzuri kwa sababu zimefanana na za zamani. Yaani nyimbo ya Ali Kiba hata uamshwe usingizini bila kusikia hata sauti ukisikia biti tu utajua nyimbo ya Ali Kiba ,lol.
Kwenye issue ya kiwango cha nyimbo kushuka hayuko peke yake hata best ake Diamond pia nyimbo zake zimeanza kushuka kiwango. Mie naona tatizo liko hapa,ni kwamba wameshamaliza materials zao zoote nzuri. Ni sawa kwenye mashindano ya riadha,unapoanza kukimbia,unakimbiaje fasta kama gari vile,ila mwisho wa mashindano nguvu zinaisha unaweza ata anza tembea. Me naona ni kana hawa vijana wameshaandika all the best stuff they have,sasa material zinekwisha inabidi wafanye ili mradi tu watoe single mpya.
Yaani Ali Kiba kwa jinsi alivyo under pressure sababu ya hiyo ya kulinganishwa na Diamond naona hii new single imenuangusha kabisa yaani sasa ni dhahiri kuwa yeye ni namba 2 well,kunapokuwa na tatizo lazima tutafute suluhisho. Tushajua tatizo ni uandishi wa nyimbo,sio kama hawajui kuimba kama zamani,talent zao ziko pale pale,au hata labda zimeongezeka kutokana na experience ila problem is hawana tena material ya kuandika nyimbo. I think hata Vanessa Mdee na Jux wanaface ze same problem. Yaani Vanessa na Jux wanaswaga hatariiiii,yaani kimamtoni ile mbaya ila tatizo ni nyimbo zao hazina viwango ile,well wafanyaje sasa?
I think mie nimeona kuna fursa kubwa sana ya uandishi wa nyimbo. Yes asilimia kubwa ya artists wengi wa Marekani wanaandikiwa nyimbo zao,especially. Baada ya Kuwait kwenye gemu for a while maana na wao huwa wana run out of material au ideas ndipo hapo wanabidi wanunue.
Mfano one of most popular hits in the world ule wa " I will always love you" wa Whitney Houston, yeye alinunua huo wimbo kutoka kwa DOLLY PARTON. Nyimbo hiyo ilimfanya Whitney atambulike duniani kote.so nawashauri wanabidi wanunue nyimbo Kali ili waendelee kudumu kwenye game mda mrefu on top na pia dunia kwa ujumla iwatambue.
SOURCE :- U - turn.
No comments:
Post a Comment