Kwa mujibu ya tovuti ya Mange inasemekana mwanadada supastaa wa bongo Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtabulisha mume wake mtarajiwa nyumbani kwao Singida tayari kwa mipango ya ndoa.
Kupitia picha iliyowekmwa kwenye tovuti hiyo inamuonesha Wema amevaa pete ya ndoa kidoleni,anayidaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo am aye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema Diamond Platinumz.
Wacha bongomovie iendelee,sisi yetu macho na maskio. Tunaisubiri ndoa hii kwa nguvu zote.
Unahisi Diamond na Zari watahudhurua kwenye harusi hiyo?
No comments:
Post a Comment