Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Thursday, March 26, 2015

AFYA YA MAMA YAKE DIAMOND YAZIDI KUWA TETE.

Msanii wa bongo fleva,Diamond  Platnumz  anauguliwa na mama yake mzazi  kwa takrabani ya wiki sasa. Japo msanii huyo amekana taarifa hiyo kwa kusema maswala hayo ni yake binafsi.

Moja ya chanzo kinasema Mama yake Diamond ana wiki sasa yuko hospitali amelazwa na Diamond mwenyewe anaenda kumtembelea kwa kujificha ili watu wasijue.

"Mama yake Diamond,ana wiki sasa  yuko hospitali amelezwa,Diamond mwenyewe anaenda kumuona wakati mwingne anaenda hadi saa 7 usiku,sijui anaficha nini? Ila tumuombee kwa mungu apone" kilisema  chanzo hicho.

Diamond alipotafutwa  alikataa kuliongelea  swala hilo.

"Naomba unipe muda maana nina matatizo sana hata kuzungumzia ishu hiyo nadhani hakuna haja" alisema Diamond.

No comments:

Post a Comment