Watu mbali mbali wakiwemo waigizaji wa filamu hapa nchini wanaendelea kuonyesha jinsi walivyoguswa na kifo cha Mph. Captain John Komba kupitia kurasa zao za mitandaoni ususani mtandanoni wa instagram,wamekuwa wakiweka picha na kuweka maneno ya kumtakia kheri huko aendako.
Mwigizaji Wema Sepetu alionesha jinsi gani alivyoguswa na kifo cha mwana CCM mwenzake na kuandika haya kwenye akaunti yake ya Instagram.
"Dah ni pigo kubwa sana,RIP mwana CCM mwenzangu,RIP baba angu,RIP captain mbele yako nyuma yetu,Taifa this time linahuzunika kwako aisee,kwaheri baba"aliandika Wema.
Baadhi ya wasanii wengine wa Tania hiyo ya filamu nchini,nao waliotoa majonzi yao kupitia kwenye akaunti zao za instagram.
"Pumzika kwa amani kaka yangu,daima tutakukumbuka" JB
"May God rest his soul in peace" SHAMSA
"RIP captain John Komba" LULU
No comments:
Post a Comment