Maoni huru kutoka kwa mdau.
"Hatujuhi kweli kinachofurukuta ndani ya CHADEMA na hatujuhi kama kosa lilikuwa linavumilika au halivumiliki."
"Ila kitendo cha mahakama kufuta kesi ya Zitto Kabwe haraka haraka inaweza ikawa ni mind game ya kisiasa ya CCM,kwa sababu walijua wazee wa kukurupuka watamfukuza haraka na lazima damage itatokea."
"Au mnadhani kwanini kesi imefutwa kuelekea uchaguzi?"
Mimi sio mamluki hata Hutu ZZK sijawahi kumuona zaidi ya magazetini,ila kilichopo sasa CCM wamechokwa na CHADEMA hakijajiandaa."
Je na wewe mdau unalizungumziaje swala hili? Toa maoni yako
No comments:
Post a Comment