Zari the boss ameshare picha ya gari lake jipya na mashabiki wake kipitia akaunti yake ya instagram. Gari hilo lenye thamani kubwa ambalo limewaumiza Team Wema na kuanza kumpa vijembe.
Zari na kuona haitoshi akamua tena kuonesha picha ya nyumba yake iliyoko Afrika ya kusini.
Tazama picha hizo hapa
No comments:
Post a Comment