Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Friday, March 6, 2015

MCHEPUKO WAMPONZA MUME WA MTU BAADA YA PICHA ZAO ZA UTUPU KUSAMBAA MITANDAONI.

Kaloli Dawa ambaye ni mume wa mtu,amedaiwa kujipiga picha za utupu akiwa na mchepuke wake aliyefahamika kwa jina mmoja la Irene kusambazwa mitandaoni. Picha za wawili hao wenyeji wa wilaya ya Lamadi mkoani Simuyu zimedaiwa kuvuja mara baada ya rafiki yake na Irene kuziiba kwenye laptop ya Kaloli na kuzisambaza mtandaoni.

Imedaiwa kuwa rafiki wa Irene ambaye jina lake halikupatikana mara mmoja,alizivujisha picha hizo baada ya kugombana na Irene. Imeelezwa kuwa hao watoto ni wawafanya biashara  wakubwa hivyo kusambaa kwa picha hizo kimewasononesha mnoo wazazi wao.

Mwanahabari wetu aliwatafuta wahusika hao kwa njia ya sumu, Irene simu yake haikuwa hewani  lakini Kaloli alipatikana na maongezi yakawa kama ifuatavyo.

Mwanahabari: unazungumza na mwanahabari kutoka Global publisher, je nazungumza na kaloli?

Kaloli: Ndiyo mimi.

Mwanahabari: Tunazo picha zako hapa ukiwa uchi na mpenzi wako Irene.

Kaloli: Mmezipataje hizo picha?

Mwanahabari: Picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Kaloli: Pliz' naomba usitoe hizo habari.

Mwanahabari alienda mbali zaidi na kumtafuta mzee Kaloli,kwa lengo la kujua taarifa zaidi,na kusema maneno mazito.

Mzee Kaloli: Ni kweli niliziona hizo picha yaani  ni aibu kubwa sana kwangu maana mimi ni mtu na heshima zangu,nimeshamkanya mara kadhaa mwanangu aachane na huyo irene lakini hasikii. Asiyesikia la wazazi atafunzwa na ulimwengu"

No comments:

Post a Comment