Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Monday, March 9, 2015

WEMA AUKANA WIMBO WA DIAMOND PLATNUMZ

Wakati wa hit single ya Diamond Platnumz ,Nitampata wapi  inatoka mwaka jana watu wengi waliamini kuwa wimbo huo alimwandikiwa ex wake Wema Sepetu.

Tetesi hizo zilienea baada ya kubainika kuwa wawili hao wameachana tena. Wema Leo hii amekanusha tetesi hizo kupitia Radio 5 ya jijini Arusha.

"Leo baseman rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi"

"Because nilikuwa naisikia hii nyimbk hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano amekuwa akiimba,akiandika hiyo ilikuwa tu ni moja ya nyimbo zake kama anavyoandika nyimbo zote lakini nadhani tu timing ya kutoka ndo imekuwa na utata because kaitoa timing ambayo watu wote wakadhani kamuimbia Wema a but in real sense nooo"

No comments:

Post a Comment