Jana msamii Wema Sepetu alitupia picha mpya instagram akionesha style yake mpya ya nywele. Mashabiki wake walimwagikia sifa kemkem na kila aina ya sifa juu ya urembo wake,hali ilianza kuchafuka pale tu inapo sadikika Team Zari walivyotoa maoni yao kuhusu picha hizo kwa kusema kumbe wema ana kipara kama cha Zari! Ikumbukwe kipindi cha nyuma Team Wema walimponda Zari kuwa ana Kipara.
Hebu jionee mwenyewe picha hizo hapa chini.
No comments:
Post a Comment