Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Thursday, March 26, 2015

POMBE YA MUUMBUA SHILOLE; ASHINDWA KUPANDA BOTI BAADA YA KULEWA CHAKALI.

Msanii wa bongo fleva na filamu nchi Shilole, juzi kati baada ya kunywa pombe kupita kiasi alijikuta akishindwa kupanda boti ya kuelekea kwenye bethidei ya msanii mwenzake Linah iliyofanyika Slipway Masaki,jijini Dar es Salaam.

Shilole kabla ya kwenda huko kwenye sherehe hiyo alikuwa klabu ya Paparazi na mpenzi wake Nuh Mziwanda,ambapo alipozinywa pombe kwa kasi na kumfanya kupoteza fahamu.

"Kusema kweli mimi hata sielewi nilishindwaje kupanda boti,network ilikata,nikashangaa kujikuta kwenye bethidei ya Menina Mikocheni,nafikiri kilichotokea muulize baby wangu Nuh" Shilole alisema.

Nuh Mziwanda alikiri na kuelezea kuwa baada ya kushindwa kupanda boti alimrudisha klabu ya Paparazzi ambapo alimpatia maji mengi ya baridi na kupigwa kiyoyozi.

No comments:

Post a Comment