Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Wednesday, March 11, 2015

BOB JUNIOR: SIKUPENDA NDOA YANGU IVUNJIKE.

Msanii na mtahirishaji wa wa muziki wa Sharabaro Record,Bob Junior amesema hayakuwa mapenzi yake kuacha ndoa yake ivunjike.

Bob Junior ameiambia Bongo 5 Kuwa:-

"Nitaoa lakini si miaka ya karibuni ni miaka ya mbele sana kwasababu niliingia kwenye ndoa harafu mwisho siku ndoa haikukaa muda mwingi ikanishinda"

"Yaani siwezi tena kusema niache harafu nioe tena,si maanishi kwamba ndoa ya kwanza nilikurupuka  ila ilitokea kwa neema ya mwenyezi mungu na ikavunjika kwa majaliwa ya mwenyezi mungu"

No comments:

Post a Comment