Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Saturday, March 7, 2015

MAKUBWA!!! KONDOMU ZATUMIKA KAMA FASHENI ZA NYWELE.

Kila kukicha kunakuwa na mambo mapyaa katika jamii inayotuzunguka na kutokana na utandawazi umetufanya tuone na kujua kila kinachoendelea katika ulimwengu was sayansi na teknolojia.

Kwasasa kumekuwa na mitindo mbali mbali ya fashion kama kwenye nguo,make up,viatu na kubwa zaidi hii style mpya hapa mjini mtu kuweka dread kwa namna yake. Sasa mama mmoja wa makamo raia wa Ghana baada ya nywele zake kuzivisha kondomu kuzifunga kama dreadlock.

Je ingekuwa nchini Tanzania,tungemchukuliaje huyu mama huku mitaani?

No comments:

Post a Comment