Timu ya Manchester United imeonyesha jezi mpya itakayotumika msimu ujao wa 2015/2016. Jezi hiyo itatumika ugenini tu na ikiwa imetengenezwa na addidas baada ya kampuni hiyo ya kutengenza vifaa vya michezo kuingia mkataba mnono na klabu hiyo.
Jezi hiyo inayofanana kwa kiasi kikubwa na jezi ya Real Madrid japo utafouti wake ni mistari ya michirizi ambayo kwa mashetani imewekwa mistar mekundu.
Baada ya kuifunga Liverpool weekend iliyopita,Man UTD wamezindua application ya INPLAY itakayowezesha mashabiki wake ulimwenguni kote kuweza kuwasiliana na kujadiliana kuhusu klabu hiyo.
Application hiyo inapatikana katika Google play store kwa simu za Android, na iPhone pia. Km wewe shabiki wa Manchester united download hiyo application ambayo inaitwa INPLAY.
No comments:
Post a Comment