Nimekutana na huu ushauri mzuri kutoka kwa dada Aimal Ngonyani huko instagram kwenda kwa wadada wa mjini ebu jionee.
"Wadada wa mjini tuache maisha ya kuigiza na kufuata mkumbo jamani kinachotuponza ni tamaa na ulimbukeni,baadhi yetu tunapenda kuonekana tuna mahusiano na mwanaume fulani kisa tu ana pesa nyingi au pengine ndo hivyo msanii,sasa hebu tujiulize kuwa ana pesa ndio akutumie kinyume na maumbile na kukupa gari funguo kutambia mtaani na kutupia pic insta? Sisi tutalike na kucomment tu ila ukweli wa maisha unaujua wewe"
No comments:
Post a Comment