Masista duu wa Bongo Fleva Estelina Sanga (Linah) na rafiki yake Winfrida Josephate (Recho) wamefanya mambo ya aibu mbele ya watu.
Tukio hilo la aibu lilitokea hivi karibuni usiku kwenye bwawa la kuogelea (swimming pool)ndani ya hoteli ya Regency -Mikocheni jijini Dar ambapo kulikuwa na bethidei ya Recho.
Awali mastaa hao walianza kwa kulishana keki staiki ya njiwa ( kwa mdomo ) jambo lililoibua minong'ono mahali hapo.
Kama haitoshi baada ya tukio hilo wawili Zhao waliweka mapozi tatam,wakipiga pucha ziliziwaobesha nusu utupu huku vinguo walivyovaa vikiacha sehemu kubwa ya maumbile yao nyeti.
No comments:
Post a Comment