Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Wednesday, March 4, 2015

RAY C: MAPAJA YANGU YANANITESA SANA.

Baada ya kuachana na madawa ya kulevya mwanadada Ray C,ameamua kuanza mazoezi ya kupunguza mwili wake ili aanze kuwakumbushia enzi za kiuno bila mfupa stejini kwa mashabiki wake.

Ray C amefunguka kwa kusema

" No filter,no make up,mapaja bado yananitesa sana ila najua nitafika safari yangu ya kupunguza uzito hadi nifikie mkoa wa 65kg. Bado njia ni ndefu na safari ndo kwanza imeanza,illa nachojua ukitaka  chochote maishani lazima ukitolee jasho! Me ndio nachofanya hakika nitafika.
20kg! Safari ya kupunguza mwili bado inaendelea,nashukuru nineanza kuona mwanga mbele yangu,si rahisi ila nimezoea kupambana na lolote mbele yangu na hakika nitashinda tu na hili pia. Am doing this for all my fans around the world" Ray C.

No comments:

Post a Comment