Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Wednesday, March 11, 2015

WEMA SEPETU: CHAZ BABA ALIKUWA MWANAUME SAHII KWANGU.

Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa dansi ndiye mwanaume wa pekee hakuwa na maswala ya kiswahili baada ya kuachana.

Wema ameiambia U-heard ya Clouds FM jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshikaji wake hata alipo funga ndoa alimchangia pesa.

"Chaz Baba alikuwa ni mshikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend pekee asiyekuwa na mambo ya kiswahili. Tulizinguana tukafikia point tukaachana,ameoa nikamtolea mchango,nimeenda kwenye harusi yake sioni tatizo"

"Mimi na Chaz tulipendana na baada ya kufikia point ya kuachana tukaachana tukawa hatuongei for sometimes mwisho wa siku baada ya kila mmoha kuishi kwake tukawa tunazungumza. Sio kama watu wengine tukigombana tunatafutiana mabifu"

No comments:

Post a Comment