Habari zenu mabibi na mabwana. Swala la ushoga na usagaji kwenye jamii yetu ya kitanzania si jambo geni tena baada ya wimbi hilo la mapenzi ya jinsia moja kukua kwa kasi nchini.
Imefikia hatua mpka midume yenye miguvu yao kabisa ikijiuza usiku ili na wao wajipatie ridhiki,hali hii inasikitisha sana. Wanawake nao hawaoni thamani ya tena kuwa na mwanaume kwan mahitaji yake ya kingono yanatimizwa na mwanamke mwenzake.
Nini chanzo cha wimbi la mapenzi ya jinsia mmoja? Wengi wanadai ni shule za boarding haswa za jinsia mmoja zinachangia kwa kiasi kikubwa,hii kutokana na watoto wakipevuka wakiwa shuleni na miamko yote ya kingono umkuta shuleni,hivyo kumpelekea kujaribu kufanya tendo hilo. Pia sababu nyingine ni ongezeko kubwa la utandawazi,hii unawakuta vijana wengi wakitumia simu,laptop na tablet zao kutafuta mitandao ya kingono na kujikuta kutaka kujaribu yale wanayoyaona kwenye video hizo za ngono. Sababu nyingine ni makundi na marafiki wanaomzunguka.
Madhara ya ushoga ni makubwa mnoo ukilinganisha na usagaji,kwani ushoga umfanya shoga kupoteza uwezo wa uume kusimama. Na mbaya zaidi ushoga auachik.
Toa maoni yako kuhusu chanzo cha ushoga na usagaji nchini
No comments:
Post a Comment