Serengeti boy anaetoka kwenye kundi la mziki la MAKOMANDO ,Freddy Felix anasumulia alivyofaidi penzi la staa wa bongo muvi Jacqueline Walper Massawe (Wolper).
Akizungumza kupitia mahojiano maalumu na Global TV online, Serengeti boy huyo anafunguka kwa kusema.
" Kiukweli msichana wa pekee nimewahi kuwa nae katika mapenzi na kumpenda kwa dhati ni Wolper pekee,Mara yangu ya kwanza kukutana nae ilikuwa kama sapraizi vile ( habari zinasema kwamba wamekutana maeneo ya kinondoni) alipoingia kwangu nashukuru nae alinipenda na kumfanyia kila anachohitaji," GPL.
No comments:
Post a Comment