Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Tuesday, March 3, 2015

SHAMSA FORD ( CHAUSIKU ): AWABWATUKIA WANAFKI WANAOSEMA AMEACHANA NA MUME WAKE.

Msanii wa Filamu anayetamba na filamu ya CHAUSIKU ,Shamsa Ford  amewafungukia watu wanaoeneza taarifa kuwa ameachana na mumewe, Dickson Matoke kwamba hakuna kitu kama hicho.

Akizungumza na uwazi  Shamsa alisema Kuwait hajachana na mumewe huyo,na wote wanaosema  hivyo watakuwa wanamtaka.

"Bado nipo na mume wangu tena kajaa tele,nashangaa hao wanaosema kuwa tumeachana labda wanamtaka," alisema Shamsa.

No comments:

Post a Comment