Haya ni majina ya abiria wa gari Manjija lilopata ajari Jana mkoani Iringa.
Kuna baadhi ya abiria walikuwepo kwenye ajari hiyo bado hawajatambulika kama wamekufa au wamejerehuliwa ambao ni Esther Emmanuel, Lusekelo Enock,Jeremiah Watson, Digna Solomon na Frank Chiwango.
Jumla ya majina ya abiria waliokuwepo kwenye ajari ni:- Luteni Sanga,Teresia,Doto Katunga,Esther Fidelis,Paulina Justine,Mbaba Ipyana,Catherine Mwajengo ,Zera Kasambala,Rebbeca Kasambala,Shadrack Msigwa,Mathew Justine,Juliana Bukuku,Martin Haule,Dominic Mashuhuri.
Wengine ni:- Easter William, Lucy Mtenga,Erick Shitindo,Edwin Kamiyeye,Frank Mbaula,Mustapher Ramadhani,Kelvin Odubi,Upendo William, Charles Lusege,Neto Sanga, Pili Vicent,Daniel, Jacob Doketa,Iman Mahege na Juma Sindu. Wengine waliokuwepo kwenye ajari hiyo wametambuliwa kwa jina moja ni Musa,Elias,Raphael, Hussein.
Dereva Baraka Ndome na kondakta wake Yahya Hassan.
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.AMINA
No comments:
Post a Comment