Msanii Only Dimpoz anatarajia leo hii kuachia video yake ya wimbo unaoitwa WANJERE. Ommy ameshare picha na mashabiki kupitia mtandao wa instagram kwa kuonesha baadhi ya picha za video hiyo.
Hivi karibuni walisemekana wawili hao wanatoka kimapenzi,lakini ommy alikanusha taarifa hizo. Je na hii video walivyobadilisha ndimi ni uzungu au ndo mapenzi?
No comments:
Post a Comment