Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Monday, March 9, 2015

TAFITI: 60% YA WANAWAKE WANAPATA KAZI KWA RUSHWA YA NGONO:

Kutokana na wimbi la ukosefu wa ajira nchini linazidi kuongezeka,utafiti uliofanywa hivi karibuni unaonesha kama ifuatavyo.

60% ya wanawake hupata kazi kwa njia ya rushwa ya ngono.

30% ya wanawake hupata kazi kwa njia ya kujuana na watu maofisini.

10% ya wanawake hupata kazi kwa njia ya halali au kawaida.

Tafiti hizi zinaonesha kuwa katika asilimia 60 ya wanawake wanaopata kazi kwa njia ya rushwa ya ngono ni asilimia 1 tu hukataa kuoa rushwa hiyo.

Hii inatokana na mfumo  mbovu wa utoaji na utengenezaji wa ajila nchini. Pia na mfumo mbaya wa elimu wa kumfanya mwanafunzi aweze kujiajili.

Tatizo hili  linekuwa kubwa nchini,na likiwakumba haswa wasichana. Na kuisha kwa tatizo hili si rahisi na wala si la Leo au kesho.

Je inashindikana we dada kupata kazi bila kuvua chupi kwa bosi? Au swala la kutojithamini mwili wako? Au kutokujiamini?

No comments:

Post a Comment