Barua ya mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwa msanii Diamond platnumz ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii. Barua hiyo inaonesha kuhusu maswala ya promotion,katika kipindi chote cha kuanzia mwaka 2010 mpaka 2014.
Barua pia inaonesha," unatakiwa pia kuwasilisha vielezo vya ushahidi kuhusiana na huduma iliyofanyika na kiasi cha feza kilicholipwa kukingana name ajira ya Abdulmalik Naseeb".
Mmoja wa mameneja wa Diamond anaitwa Salon, alizungumzia suala la barua hiyo kwa kusema.
"Tunasikia tu kwenye mitandao hatuna taarifa nayo maana hawajasiliana na sisi."
"Inashangaza kuona kitu kwenye mitandao bila ya kuwasiliana na mhusika mkuu,tunechukulia kama changamoto za kwenye maisha" aliongezea Salim.
No comments:
Post a Comment