Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeshinda kesi dhidi ya mwanachama wake Zitto Kabwe.
Katika hukumu hiyo iliyotolewa na Jaji Mziray,Mahamama imewaruhusu CHADEMA kuendelea na taratibu zake za awali,aidha Mahakama imemtaka Zitto Kabwe alipe gharama zote za kesi.
Ikumbukwe kuwa,mwaka Jana Zito Kabwe aliweka pingamizi mahakamani kuzuia kikao cha kamati kuu ya chama hicho kumjadili mpaka pale shauri lake litakaposikilizwa na baraza kuu la chama hicho.
No comments:
Post a Comment