Nimemfatilia channel 10 wakati akiongoza Ibada huku akishangiliwq na waumini wake,katika mambo aliyonistajaabisha ni lugha ya matusi
Anasema habari ya mjini sasa ni kusali ,ila anamalizia kwa kuwambia vijana wanaosema kila siku ni yale yale kanisani " ibada haifanani acha ufala"
No comments:
Post a Comment