Mchezaji wa vinara was ligi kuu ya Italia ( Juventus ),Paul Pogba mwenye miaka 21,alisaini mkataba oktoba mwaka jana na klabu yake yake Juventus na kufanya kulipwa kitita cha pauni 70000 kwa wiki na mkataba wake huo wa sasa kumalizika 2019.
Licha ya kuongeza mkataba na klabu yake,inasemekana Paul Pogba bado anataka kuondoka klabuni hapo.
Mfaransa mwenzake na mchezaji wa zamani wa Chelsea Anelka.Amemshauri Paul Pogba aichague Chelsea au Real Madrid na si kurudi tena Man UTD ambapo alichezea kwa miaka 3.
"Chelsea ni klabu yenye wachezaji wakubwa,na yenye nguvu ya kifedha kupitia Abrovomich,kama ilivyo Real Madrid,na aina ya uchezaji wake unaendana na timu hizi.Carlo ni kocha mzuri ambaye atamuuongezea mafanikio.ila nafikiri Pogba kashaamua wapi anataka kuchezea baada ya Juventus.
Pogba na Anelka walicheza pamoja Juventus mwaka 2013,wakati Anelka akiichezea klabu hiyo kwa mkopo wa miezi mitano.
No comments:
Post a Comment