Majina ya wasanii watakao wania tuzo hizo yametangazwa jana Ijumaa tarehe 27,kwenye hoteli ya kifahari jijiini Accra Ghana inayoitwa PALM ROYAL BEACH HOTEL.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo hizo kwenye kipengere cha Msanii bora wa Afrika ( African artist of the year)
Wasanii wengine wanaowania kipengele hicho ni Tiwa Savage (Nigeria), AKA (South Africa),Don jazy & the mavn Group (Nigeria) na Yemi Alade (Nigeria).
Kupatikana kwa mshindi wa Tuzo hizo inatoka na 40% kutoka kwenye kura za wananchi,30% zinatoka kwenye Academy na 30% zinatoka kwa majaji.
No comments:
Post a Comment